Pages

Thursday, March 29, 2018

SAM KAMANGA WA ‘ATI’ AWATAKA WADAU WA BIMA WAWEKEZE KWENYE TEKNOLOJIA


Mwenyekiti wa Umoja wa Makampuni ya Bima Tanzania (ATI) ambaye pia ni
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima Taifa (NIC) Sam Kamanga akiwa na watendaji wake jana katika banda la NIC Mlimani City wakati wa maonyesho ya wadau wa sekta ya bima kandokando ya mkutano wao maarufu kama African Insurance Summit
Mwenyekiti wa Umoja wa Makampuni ya Bima Tanzania (ATI) ambaye pia ni
Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Sam Kamanga akizungumza wakati wa mkutano huo.
Mkurugenzi wa Ufuatiliaji na Usimamizi wa Bima
wa Mamlaka  ya Bima Tanzania (TIRA)
Elia Kajiba akizungumza wakati alipotembelea banda Shirika la Bima la Taifa (NIC) kwenye
maonyesho ya makampuni ya Bima nchini yaliyofanyika jana Mlimani City Jijini
Dar es Salaam na kuandaliwa na Taasisi ya Bima Tanzania (IIT), kushoto ni
Mwenyekiti wa Umoja wa Makampuni ya Bima Tanzania (ATI) ambaye pia ni
Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Sam Kamanga na kulia ni Afisa Bima
Mwandamizi wa NIC Konjeta Mwaipopo.
Kaimu Mkurugenzi wa Masoko waShirika la Bima la Taifa Elisante Maleko, akimkabidhi zawadi ya kikombe Mkurugenzi wa Ufuatiliaji na Usimamizi wa Bima
wa Mamlaka  ya Bima Tanzania (TIRA)
Elia Kajiba alipotembelea banda la NIC katika maonyesho ya wadau wa bima Jijini Jana

Mwenyekiti wa Umoja wa Makampuni ya Bima Tanzania (ATI) ambaye pia ni
Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Sam Kamanga (Kulia) akisalimiana na
Mkurugenzi wa Ufuatiliaji na Usimamizi wa Bima
wa Mamlaka  ya Bima Tanzania (TIRA)
Elia Kajiba kando kando ya mkutano huo wa wadau wa bima
African Insurance Summit

No comments:

Post a Comment