Pages

Tuesday, March 27, 2018

RAIS DK,SHEIN AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI


DSC_8604
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza  Balozi wa Uturuki katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Ali Davutaglu  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo wakati wa mazungumzo yao
DSC_8632
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na  Balozi wa Uturuki katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Ali Davutaglu  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kuonana na Rais
DSC_8564
R ais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Uturuki katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 
Mhe.Ali Davutaglu alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya mazungumzo na Rais
DSC_8568
R ais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Uturuki katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 
Mhe.Ali Davutaglu alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya mazungumzo na Rais,
Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment