Naibu
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akipata
maelezo ya mpaka wa Tanzania na Kenya kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Rombo
Agnes Hokororo kabla ya kuenda kukagua eneo la Tarakea na Holili.
Ofisa
Forodha Msaidizi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Samwel Tindwa
akitoa maelezo mbele ya Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya
Makazi Angelina Mabula kuhusu huduma zinazotolewa na ofisi yake katika
mpaka wa Tanzania na Kenya, Tarakea mkoa wa Kilimanjaro.
Waziri
wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akioneshwa
ramani ya mpaka baina ya Tanzania na Kenya eneo la Tarakea mkoa wa
Kilimanjaro.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akikagua mpaka kati ya Tanzania na Kenya.
-Naibu
Waziri Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akiangalia
Kigingi cha mpaka wa Tanzania na Kenya kilichoanza kuharibika wakati
alipokagua mpaka wa nchi hizo.
Naibu
Waziri Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akiwa katika
picha ya pamoja na raia wa Kenya aliowakuta wakati akikagua mpaka wa
Tanzania na Kenya.
Sehemu ya Kenya katika mpaka baina ya Tanzania na nchi hiyo katika eneo la Holili wilaya ya Rombo mkoa wa Kilimanjaro.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wake katika kituo cha Huduma za Pamoja Mipakani (OSBC) kilichopo Holili mkoa wa Kilimanjaro.(Picha zote na Wizara ya Ardhi.
No comments:
Post a Comment