Bw. Muganyizi Bisheko Meneja wa
Masoko Utafiti na Maendeleo Benki ya BOA akikabidhi zawadi ya shilingi
milioni 10.000.000 kwa Bw. Reuben Bulugu Kinamhala mshindi wa Bahati
nasibu ya “Daka Mkwanja” iliyoendeshwa na Benki hiyo kwa muda wa miezi
minne kwa wateja wake kuweka fedha kwenye akaunti zao na kutunza kiwango
kisichopungua shilingi milioni moja , Bw. Reuben Bulugu ambaye ni
mtumishi katika kanisa ni mteja wa benki hiyo katika tawi la Mtoni
Temeke jijini Dar es salaam. Katika picha kulia ni Mke wake Jane Bulugu
akishiriki kupokea kiasi hicho cha fedha .
Bw. Muganyizi Bisheko Meneja wa
Masoko Utafiti na Maendeleo Benki ya BOA akikabidhi zawadi ya shilingi
milioni 10.000.000 kwa Bw. Reuben Bulugu Kinamhala mshindi wa Bahati
nasibu ya “Daka Mkwanja” iliyoendeshwa na Benki hiyo kwa muda wa miezi
minne kwa wateja wake kuweka fedha kwenye akaunti zao na kutunza kiwango
kisichopungua shilingi milioni moja , Bw. Reuben Bulugu ambaye ni
mtumishi katika kanisa ni mteja wa benki hiyo katika tawi la Mtoni
Temeke jijini Dar es salaam.
Katika picha kulia ni Mke wake
Jane Bulugu akishiriki kupokea kiasi hicho cha fedha na kutoka kulia
wanaoshiriki kukabidhi fedha hizo kwa mshindi ni Linda Mario Mkuu wa
uratibu wa Mauzo na Nimael Mdeme Meneja wa Matawi ya Benki ya Boa Kanda
ya Dar es salaam na Zanzibar.
Bw. Muganyizi Bisheko Meneja wa
Masoko Utafiti na Maendeleo Benki ya BOA akiwa katika picha ya pamoja na
wafanyakazi wenzake pamoja na washindi wa zawadi ya shilingi milioni
10.000.000 mara baada ya kukabidhi zawadi hiyo.
No comments:
Post a Comment