Meneja Masoko wa Kampuni ya
Multchoice Tanzania Bw. Alfa Mria akizungumza wakati alipokuwa
akitangaza punguzo la kifurushi cha DSTV Bomba “The Punguzo” Kampeni
itakayoanza Februari 1 mpaka Machi 30 mwaka huu ambapo mtu anaweza
kujipatia Dekoda na Dishi pamoja na kuunganishiwa kwa shilingi 79.000 tu
kutoka kulia ni Meneja Huduma na Uendeshaji wa Kampuni ya MultiChoice Tanzania,Ronald Baraka Shelukindo ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu Multchoice Tanzania Bw. Godfrey Bwana.
Meneja Huduma na Uendeshaji wa Kampuni ya MultiChoice Tanzania,Ronald Baraka Shelukindo
akizungumza kuhusu punguzo la kifurushi cha DSTV Bomba “The Punguzo”
Kampeni itakayoanza Februari 1 mpaka Machi 30 mwaka huu ambapo mtu
anaweza kujipatia Dekoda na Dishi pamoja na kuunganishiwa kwa shilingi
79.000 tu kutoka kulia ni Salum Salum Meneja Mauzo Multchoice Tanzania
Bw. Alfa Mria Meneja Masoko wa Kampuni ya Multchoice Tanzania na Kaimu
Mkurugenzi Mkuu Multchoice Tanzania Bw. Godfrey Bwana.
Wakiwa katika picha ya pamoja na washindi walioshinda bahati nasibu na kujipatia Ving’amuzi.
……………………………………………………………………………………..
Punde tu baada ya kumaliza ofa
mahsusi ya kufunga mwaka, MultiChoice Tanzania leo imetangaza neema kwa
wateja wake wapya watakaojiunga kipindi hiki cha mwanzo wa mwaka ambapo
watajipatia ofa ya kifurushi kwa muda wa miezi miwili bure!
No comments:
Post a Comment