Pages

Wednesday, February 28, 2018

TTB NA JESHI LA POLISI TANZANIA ZAKUBALIANA KUBORESHA USALAMA NA HUDUMA KWA WATALII

Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania, Bi. Devota Mdachi akisisitiza jambo mara baada ya kupatiwa jarida la Jeshi la Polisi lililosheheni taarifa mbalimbali zinazoelimisha umma kama vile makosa ya Uhalifu wa mtandao (Cyber Crime).
2
 Kamishna Msaidizi wa Police (ACP) Barnabas D. Mwakalukwa ambaye ni msemaji wa jeshi la Polisi Tanzania akizungumza wakati wa .3
Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania, Bi. Devota Mdachi ma mkurugenzi wa Masoko wa Bodi ya Utalii, Ernest Mwamwaja wakifuatilia maelezo yanayotolewa na Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Barnabas D.  Mwakalukwa.

No comments:

Post a Comment