Pages

Thursday, February 1, 2018

KATIBU MKUU DKT. MARIA SASABO AFUNGA MKUTANO WA BARAZA KUU LA WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) JIJINI DAR ES SALAAM

Katibu Mkuu (Mawasiliano), Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt. Maria Sasabo (kushoto), akifurahia jambo pamoja na Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Hassan Mwang’ombe (wa pili kushoto), Kaimu Meneja Mkuu Rasilimali za shirika, Macrice Mbodo (wa tatu) na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Elia Madulesi, wakati alipowasili Makumbusho ya Taifa kwa ajili ya kuufunga mkutano wa Baraza Kuu la wafanyakazi wa TPC, jijini Dar es Salaam jana.
Kaimu Postamasta Mkuu wa TPC, Hassan Mwang’ombe, akizungumza kabla ya kumkaribisha Katibu Mkuu (Mawasiliano), Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt. Maria Sasabo (katikati), kuzungumza katika kuufunga mkutano wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika, jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi Utumishi na Utawala kutoka wizarani, Kitolina Kippa.
Baadhi ya wajumbe wa Baraza Kuu la wafanyakazi wa Shirika la Posta, wakimsikiliza Katibu Mkuu (Mawasiliano), Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt. Maria Sasabo, wakati akiufunga mkutano huo.
Katibu Mkuu (Mawasiliano), Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt. Maria Sasabo akizungumza wakati akiufunga mkutano wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam jana. Wengine, kulia ni Kaimu Postamasta Mkuu wa TPC, Hassan Mwang’ombe, kushoto ni Afisa Sheria Eunice Masigati na wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala Kitolina Kippa, wote kutoka wizarani.
Katibu Mkuu (Mawasiliano), Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt. Maria Sasabo akizungumza katika ufungaji huo. Kulia ni Kaimu Postamasta Mkuu wa TPC, Hassan Mwang’ombe.
Baadhi ya wajumbe wa Baraza Kuu la wafanyakazi wa Shirika la Posta, wakifuatilia ufungwaji wa mkutano wao jijini Dar es Salaam jana.
Katibu Mkuu wa TEWUTA Taifa, Junus Ndaro, akitoa salamu za shukurani kwa Katibu Mkuu (Mawasiliano), Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt. Maria Sasabo, mara baada ya hotuba ya kuufunga mkutano huo.
Katibu Mkuu wa TEWUTA Taifa, Junus Ndaro, akitoa salamu za shukurani.

No comments:

Post a Comment