Mkurugenzi wa Kampuni ya Tanzania Canine Association Ltd (TCAL) Sinare
Sinare, akizungumz na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Idara ya
Habari Maelezo, jana wakati akitangaza uzinduzi rasmi wa Chama cha
Wamiliki wa Mbwa utakaofanyika katika Viwanja vya Leaders Club Kinondoni
jumamosi.
Mgeni
rasmi katika uzinduzi huo atakuwa Inspector General wa Polisi (IGP)
Simon Siro. Kushoto kwake ni Wajumbe wa Kamati ya uzinduzi huo, Felician
Bolu na Deo Rweyunga. (kushoto) ni Kamanda wa Polisi Kikosi cha Mbwa na
Farasi, Dkt. Egyne Emmanuel. Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
Mkutano ukiendela....
Na Amina Kasheba, Dar (DSJ)
INSIPEKTA
wa polisi (IGP) Simon Siro atanatarajia kuwa mgeni ramsi katika
uzinduzi wa chama cha mbwa kilichoundwa na Tanzania canine Assoation
limited (TCAL) wafuga mbwa wa Mkoa wa Dar es salaam.
Uzinduzi
huo unatarajia kufanyika Febuari 3 mwaka huu na kushirikishwa na wasio
kuwa wanachama ili kuleta ushirikiano katika masuala ya wafugaji
Tanzania.
No comments:
Post a Comment