BUKOMBE, GEITA
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon
Sirro, akiwa katika picha ya pamoja na askari wa kikosi maalum cha
kupambana na uhalifu hususan katika barabara kuu ya mkoa wa Shinyanga,
inayounganisha mikoa ya jirani ya Mwanza na Geita ambapo kikosi hicho
kimepata mafanikio makubwa kutokana na kupambana na wahalifu waliokuwa
wakitumia silaha za moto. Picha na Jeshi la Polisi.
No comments:
Post a Comment