Pages

Wednesday, February 28, 2018

Dk.SHEIN AKUTANA NA VIONGOZI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI


DSC_5213
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (R) Semistocles Kaijage akiwa na ujumbe aliofuatana nao walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo (katikati) Makamu Mwenyekiti wa Tume hiyo Mhe.Hamid M.Mahmoud
DSC_5242
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza  Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (R) Semistocles Kaijage (wa pili kulia) alipokuwa akiwatambulisha Viongozi aliofuatana nao  walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa mazungumzo na Rais (katikati) Makamu Mwenyekiti wa Tume hiyo Mhe.Hamid M.Mahmoud,
DSC_5285
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na  Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (R) Semistocles Kaijage  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo pamoja na ujumbe aliofuatana nao
DSC_5306
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifurahia jambo alipokuwa akibadilishana mawazo na   Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (R) Semistocles Kaijage (kushoto)wakiwepo na Viongozi wengine baada ya mazungumzo yao walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,
Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment