Naibu
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akipokewa
na Meneja Mradi wa Safari City James Kisarika wakati alipotembelea
mradi huo kujionea nyumba zilizojengwa na Shirika la Nyumba (NHC).
Naiibu Waziri wa Ardhi Angelina Mabula akipata maelezo ya mradi kutoka kwa James Kisarika.
Akipata maelezo
Baadhi ya Nyumba za Safari city
No comments:
Post a Comment