Pages

Tuesday, January 2, 2018

WAZIRI MKUCHIKA ATEMBELEA TPSC TAWI LA MTWARA



Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni
Mstaafu George Mkuchika (kushoto)
akiwasili chuo cha Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Tawi la
Mtwara ikiwa ni mwendelezo wa ziara zake za kutembelea matawi ya chuo hicho
nchini  kulia ni Mkurugenzi wa TPSC Tawi
la Mtwara Dkt. Emmanuel Shindika,ziara hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki





  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni Mstaafu George Mkuchika
(katikati)  akipata maelezo kutoka Mkurugenzi
wa TPSC Tawi la Mtwara Dkt. Emmanuel Shindika (kushoto) akiwa katika moja ya
madarasa ya chuo hicho tawi la Mtwara  ikiwa
ni mwendelezo wa ziara zake za kutembelea matawi ya chuo hicho nchini, ziara
hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki.Wengine pichani ni watumishi wa chuo hicho.



 Kwaya ya TPSC tawi la Mtwara ikitoa burudani
mbele ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora Kapteni Mstaafu George Mkuchika (Hayupo pichani), aliyefanya ziara fupi
chuoni mwishoni mwa wiki sambamba na kupokea taarifa ya tawi na kusikiliza
changamoto za watumishi na wanachuo.

No comments:

Post a Comment