Pages

Friday, December 29, 2017

WAZIRI MPINA APOKEA RIPOTI YA KAMATI NDOGO ALIYOIUNDA KWA SIRI KUTATHMINI UTENDAJI WA SEKTA YA UVUVI KATIKA ZIWA VICTORIA


 Waziri wa
Mifugo na Uvuvi, Mhe Luhaga Mpina (kulia) akipokea ripoti ya Kamati Ndogo ya
kutathmini utendaji wa sekta ya Uvuvi katika Ziwa Victoria kutoka kwa
Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhandisi Bonaventure Baya anayeshuhudia ni Katibu
Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia uvuvi, Dk.
Yohana Budeba hafla iliyofanyika Makao Makuu
ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dodoma jana.
 Waziri wa
Mifugo na Uvuvi, Mhe Luhaga Mpina(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na
wajumbe wa Kamati Ndogo ya kutathmini utendaji wa sekta ya Uvuvi katika Ziwa
Victoria baada ya kukabidhi ripoti yako mjini Dodoma jana. Kushoto ni
Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mhandisi Bonaventure Baya Kulia ni Katibu Mkuu
Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Uvuvi,
Dk Yohana Budeba
 Waziri wa
Mifugo na Uvuvi, Mhe Luhaga Mpina akiwashukuru wajumbe wa Kamati Ndogo
ya kutathmini
utendaji wa sekta ya Uvuvi katika Ziwa Victoria baada ya kupokea ripoti hiyo
mjini Dodoma jana.  Kushoto ni Katibu
Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia uvuvi Dk. Yohana
Budeba
Mwenyekiti
wa Kamati Ndogo ya kutathmini utendaji wa sekta ya Uvuvi katika Ziwa
Victoria,  Mhandisi
Bonaventure Baya (kushoto) akiteta jambo na Katibu Mkuu Wizara
ya  Mifugo na Uvuvi
anayeshughulikia uvuvi, Dk Yohana Budeba mara
baada ya kukabidhi ripoti yake kwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe Luhaga Mpina
hayuko pichani Dodoma jana.

No comments:

Post a Comment