Pages

Thursday, December 28, 2017

KAMPUNI YA PiMAK YAFUNGUA DUKA KUBWA LA KUUZA VYOMBO VYA MAHOTELINI JIJINI ARUSHA



 Makamu Mwenyekiti TATO Henry
Kimambo katikati akifungua duka kubwa lavifaa mbalimbali vya mapishi kwenye
mahoteli linalomilikiwa na kampuni ya kimataifa ya PiMAK ambao ni watengenezaji
na wauzaji wa bidhaa hiyo ,Duka hilo lilifunguliwa juzi eneo la njiro jijini
Arusha,Kulia ni 
Meneja Mkuu wa kampuni hiyo, Ali Donmez ( Habari Picha na Pamela Mollel,Arusha)

Makamu Mwenyekiti
TATO Henry Kimambo ambaye alikuwa mgeni rasmi akiingia katika duka kubwa 
lavifaa mbalimbali vya mapishi kwenye mahoteli linalomilikiwa na kampuni
ya kimataifa ya PiMAKambao ni watengenezaji na wauzaji wa bidhaa hizo ,Duka
hilo lilifunguliwa juzi eneo la njiro jijini Arusha,kulia ni Meya wa jiji la
Arusha Kalist Lazaro

Kulia ni Mbunge wa Arusha Godbless Lema
akiteta jambo na Mkurugenzi wa hoteli ya Gold Crest ya Mwanza na Arusha Mathias
Manga mara baada ya kuwasili katika ufunguzi wa duka kubwa lavifaa mbalimbali
vya mapishi kwenye mahoteli linalomilikiwa na kampuni ya kimataifa ya PiMAK 

Meneja Mkuu wa kampuni ya PiMAK ya kimataifa
inayojihusisha na utengenezaji na uuzaji wa vifaa mbalimbali vya mapishai
kwenye mahoteli akitoa maelezo kwa mteja aliyetembelea duka hilo

Meneja Mkuu wa kampuni
hiyo, Ali Donmez akimuonyesha bidhaa za kampuni ya PiMAK mtaja aliyetembelea duka hilo siku ya uzinduzi Bi.Mary Mbajo 

Wahudumu wa duka hilo wakiwa na
vepeperushi vya kampuni hiyo

                                    Muonekano ndani ya duka hilo
 Makamu Mwenyekiti TATO Henry Kimambo akizungumza mara baada ya kukata utepe,kushoto ni diwani wa kata ya Themi jijini Arusha ,Milance Kinabo

 Naibu Meya wa jiji la Arusha,Viola
Likindikok
akiangalia baadhi ya vyombo vinavyopatikana
dukani hapo anayefatia ni
 Meya wa jiji la Arusha Kalist Lazaro   


Kulia
Meneja Mkuu wa kampuni hiyo, Ali Donmez akipozi na wadau katikati ni Maya wa jiji Kalist Lazaro
 Mbunge wa Arusha Godbless Lema akiteta jambo na wadau wa kampuni hiyo





 Meneja Mkuu wa kampuni hiyo, Ali Donmez akitoa maelezo kwa mteja




Wageni
waliofika katika uzinduzi huo wakibadilishana mawazo
 
Na Pamela Mollel,Arusha
 
KAMPUNI
ya kimataifa ya PiMAK  inayojihusisha na
utengenezaji na uuzaji wa vifaa vya mbalimbali vya mapishi kwenye mahoteli , imefungua
duka kubwa jijini Arusha kwaajili ya kuwarahisishia watumiaji wa vyombo hivyo
kuvipata kwa wakati
Akizungumza

No comments:

Post a Comment