Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia
Mjema baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere kutokea nchini Canada, Novemba 3, 2017. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Spika Dr. Tulia Ackson baada
ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
kutokea nchini Canada,Novemba 3, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment