Mkuu wa
wilaya ya Kibaha, Asumpter Mshama akijadiliana machache na meneja
mwajiri wa kampuni ya ujenzi wa reli ya Kisasa ya Yapi Markezi kutoka
Uturuki wakati alipofanya mkutano wake na vijana wasotea ajira walioweka
kambi yao kijiji cha Soga-Kibaha, Pwani.
Mkuu wa
wilaya ya Kibaha, Asumpter Mshama akitolea ufafanuzi wa mambo machache
kwa vijana wasotea ajira walioweka kambi yao kijiji cha Soga-Kibaha,
Pwani.
Vijana wasotea ajira walioweka kambi yao kijiji cha Soga-Kibaha, Pwani wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya Asumpter Mshama.
Mkuu wa
wilaya ya Kibaha, Asumpter Mshama akaribishwa na uongozi wa kampuni ya
ujenzi wa reli ya Kisasa ya Yapi Markezi kutoka Uturuki ili aweze
kuongea na vijana wasotea ajira walioweka kambi yao kijiji cha
Soga-Kibaha, Pwani.
No comments:
Post a Comment