Katibu Mkuu wa Wizara ya
Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Aboudjumbe akizungumza
machache kabla ya Utiliaji saini na Kampuni ya ADPI Ingenierie kutoka
Ufaransa kuhusu Usimamizi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Terminal Two
katika Ukumbi wa Mkutano wa Wizara hio Kisauni Wilaya ya Magharibi B
Unguja.
Muakilishi kutoka Kampuni ya
ADPIngenierie ya Ufaransa Frederic Thenevin akizungumza machache kabla
ya Utiliaji saini kuhusiana na Usimamizi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege
Terminal Two katika Ukumbi wa Mkutano wa Wizara hio Kisauni Wilaya ya
Magharibi B Unguja.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi
Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Aboudjumbe akitiliana saini na
Muakilishi kutoka Kampuni ya ADPIngenierie ya Ufaransa Frederic Thenevin
kuhusu Usimamizi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Terminal Two katika
Ukumbi wa Mkutano wa Wizara hio Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi
Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Aboudjumbe kushoto wakibadilishana
Mikataba na Muakilishi kutoka Kampuni ya ADPIngenierie ya Ufaransa
Frederic Thenevin kuhusu Usimamizi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Terminal
Two katika Ukumbi wa Mkutano wa Wizara hio Kisauni Wilaya ya Magharibi B
Unguja.
Gari aina ya Buldoza likiendelea
kusafisha katika sehemu ya Uwanja wa ndege Terminal Theree katika
muendelezo wa Ujenzi wa Uwanja huo Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment