Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia picha kwenye simu pamoja na
Mama yake mzazi Suzana Magufuli (katikati) pamoja na mdogo wake Monica
wa kwanza (kushoto). Rais Dkt. Magufuli yupo mapumzikoni katika Kijiji
cha Lubambangwe Chato Mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia picha kwenye simu aliyokuwa
akioneshwa na Mama yake mzazi Mama Suzana Magufuli nyumbani kwao katika
kijiji cha Lubambangwe Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza radio pamoja na Mama yake
mzazi Suzana Magufuli wa pili kutoka (kushoto) mdogo wake Monica wa
kwanza (kushoto), na Dada yake Asteria wa kwanza (kulia). Rais Dkt.
Magufuli yupo mapumzikoni katika Kijiji cha Lubambangwe Chato Mkoani
Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza radio pamoja na Mama yake
mzazi Suzana Magufuli wa pili kutoka (kushoto) mdogo wake Monica wa
kwanza kushoto. Rais Dkt. Magufuli yupo mapumzikoni katika Kijiji cha
Lubambangwe Chato Mkoani Geita. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment