Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika akiwasilisha Taarifa ya
Utendaji ya Mfuko wa Rais wa Kujitegemea (PTF) kwenye Kamati ya Bunge ya
Kudumu ya Utawala na Serikali za Mitaa.
Baadhi
ya wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala na Serikali za Mitaa
wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika wakati
akiwasilisha Taarifa ya Utendaji ya Mfuko wa Rais wa Kujitegemea (PTF).
Makamu
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala na Serikali za
Mitaa, Mhe. Mwanne Ismail Mchemba (Mb) akichangia hoja mara baada ya
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika kuwasilisha Taarifa ya
Utendaji ya Mfuko wa Rais wa Kujitegemea (PTF) kwa kamati hiyo
Baadhi
ya wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala na Serikali za Mitaa
wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika wakati
akiwasilisha Taarifa ya Utendaji ya Mfuko wa Rais wa Kujitegemea (PTF).
……………….
No comments:
Post a Comment