Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya NchI Ofisi ya Rais Tawala
za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika kikao cha
siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza
Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini
Unguja
Baadhi ya Makamanda wa Idara mbali mbali za SMZ wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),alipozungumza na Uongozi wa Wizara ya
Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za
SMZ katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa
kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo
katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Nd,Radhia Rashid Haroub (kulia) alipokuwa akisoma taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ
Mhe.Haji Omar Kheir (katikati) alipowasilisha Muhtasari wa Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017, wakati wa kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)wengine ni Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee (kulia) na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe.Shamata Shaame Khamis,
Kamishna wa Vyuo vya Mafunzo Zanzibar Nd,Ali Abdalla Ali akitoa maelezo kuhusi Taasisi yake wakati wa kikao cha Uongozi wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani) akiwepo na Mkuu wa JKU Kanali Ali Mtumwenio Ali
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment