Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Srikali Zanzibar Bi.Fatma Mohamed Said alipokuwa akitoa michango mbali mbali wakati wa kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017,kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani) na Mkurugenzi Mwendesha Mashataka Nd,Ibrahim Mzee
Ibrahim (kulia),[Picha na Ikulu.] 03/11 /2017.
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe,Said Hassan Said alipokuwa akitoa mchango wakati wa kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 cha Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora, kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja (kulia) Naibu Waziri,Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe,Khamis Juma Maalim,[Picha na Ikulu.] 03/11 /2017.
Baadhi ya Maafisa katika Idara mbali mbali za Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakimsikiliza Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani),alipozungumza na Uongozi wa Wizara hiyo katika kikao
cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya
kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu
Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 03/11 /2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman (kushoto) alipowasilisha Muhtasari wa Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017, wakati wa kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)wengine ni Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee,[Picha na Ikulu.] 03/11 /2017.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya
Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika kikao cha
siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza
Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini
Unguja,[Picha na Ikulu.] 03/11 /2017.
No comments:
Post a Comment