Barcelona imelazimishwa sare tasa na
Olympiakos na kushindwa kufunga goli katika hatua ya makundi kwa mara
ya kwanza katika miaka mitano.
Luis Suarez alijikuta mpira
alioupiga kwa tik-taka ukigonga mwamba na kukosa goli ambalo
lingewafanya watinge hatua ya mtoano mapema.
Saurez pia alionyesha kutokuwa
mchonyo wa nafasi za kufunga alipompasi Lionel Messi pande saa moja
baadaye lakini halikuzaa goli.
Mshambuliaji Luis Suarez akipiga tik-taka kujaribu kufunga goli
Shabiki akiwa amevamia uwanja na kupiga selfie na Lionel Messi
No comments:
Post a Comment