Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Mkuu wa Mkoa wa
Mwanza John Mongella pamoja na viongozi mbalimbali akikata utepe
kuashiria ufunguzi wa Daraja la Waenda kwa miguu la Furahisha liliopo
jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
TanzaniaMhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa mara baada ya kufungua
daraja la Waenda kwa miguu la Furahisha jijini Mwanza.
Sehemu ya wananchi waliohudhuria
ufunguzi wa daraja la Waenda kwa miguu la Furahisha jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi kabla
ya ufunguzi wa daraja la Waenda kwa miguu la Furahisha jijini Mwanza.
No comments:
Post a Comment