Kocha mpya wa Leicester City Claude
Puel amesema ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya timu ya Everton
isiyonakocha ni mwanzo mzuri wa kurejesha makali.
Kocha huyo wa zamani wa Southampton
alichaguliwa kuiongoza timu hiyo jumatano kuchukua nafasi ya Craig
Shakespeare.
Katika mchezo wa jana Puel
alishuhudia Jamie Vardy akifunga goli huku naye Demarai Gray
akichangia goli la kujifunga lililofungwa na Jonjoe Kenny.
Mshambuliaji Jamie Vardy akifunga goli la kwanza la Leicester City
Demarai Gray akiachia shuti ambalo mpira wake ulizaa goli baada ya beki Kenny kujifunga
No comments:
Post a Comment