Mwandishi
kutoka Lesstho Kerato Matheka kutoka Gazeti la Public Eye akielezea
jinsi chombo chao kinavyowapa nafasi watoto katika kuelezea mambo yao na
kuoigania hazi zao katika mkutano kati ya shirika la REPSSI na
waandishi wa habari Jijini Arusha.
Mtaalamu
Mwelekezi kutoka Shirika la REPSSI Bi. Carmel Gaillard akijibu hoja
mbalimbali kutoka kwa waandishi wa habari kuhusu masuala ya watoto na
junsi ya kuandika na kuripoti habari kuhusu watoto katika mkutano kati
ya shirika la REPSSI na waandishi wa habari Jijini Arusha.
Mkurugenzi
kazi wa Shirika la REPSSI nchini Zambia Bw. Kelvin Ngoma akitoa
ufafanuzi kwa wawakilishi wa vyombo vya habari kutoka Tanzania na nje ya
nchi Jijini Arusha kuhusu nafasi ya vyombo vya habari kuandika habari
kuhusu watoto na kushawishi mabadiliko chanya ya Sera, na Programu
mbalimbali katika jamii.
Baadhi
ya waandishi wa Habari kutoka Tanzania na nje ya nchi wakimsikiliza
Mkurugenzi kazi wa Shirika la REPSSI nchini Zambia bw. Kelvin
Ngoma(hayupo Pichani) akitoa ufafanuzi kwa wawakilishi wa vyombo vya
habari kutoka Tanzania na nje ya nchi Jijini Arusha kuhusu nafasi ya
vyombo vya habari kuandika habari kuhusu watoto na kushawishi mabadiliko
chanya ya Sera, Programu mbalimbali na jamii Kwa ujumla.
Mwandishi
kutoka Zambia Margaret Samulela kutoka gazeti la Daily Mail akiuliza
swali kwa mwezeshaji mwelekezi kutoka Shirika la REPSSI kuhusu masuala
mablimbali ya watoto katika mkutano kati ya shirika la REPSSI na
waandishi wa habari Jijini Arusha.
Mwandishi
kutoka Malawi Jacob Nankhonya kutoka National Publications akichangia
hoja kuhusu uandishi wa habari za watoto katika mkutano kati ya shirika
la REPSSI na waandishi wa habari Jijini Arusha. Picha na KItengo cha Mawasiliano Serikalini WAMJW
No comments:
Post a Comment