Spika wa
Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Spika wa Bunge la Umoja wa Falme za
Kiarabu, Mhe. Dkt. Amal Al Qubaisi baada ya kutembelea Bunge hilo na kufanya
nae mazungumzo ambapo pia amewasilisha mapendekezo rasmi ya kuanzisha
umoja na urafiki wa kibunge baina ya Bunge la Tanzania na Bunge la Umoja wa
Falme za Kiarabu ambayo yamekubaliwa
Mhe.
Spika Job Ndugai akikabidhi ujumbe wake maalum kwa Spika wa Bunge la Umoja
wa Falme za Kiarabu, Mh. Dkt. Amal Al Qubaisi.
Mhe. Spika
Job Ndugai akikasaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea Bunge la Umoja wa
Falme za Kiarabu huku akiangaliwa na Spika wa Bunge hilo, Mh. Dkt. Amal
Al Qubaisi (katikati) na Katibu wa Bunge Ndg. Ahmed Shabeeb.
No comments:
Post a Comment