Mkurugenzi Mkuu wa
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa (wa pili kulia)
akizungumza na mmoja wa mafundi wanaojenga Jengo Jipya la Makao Makuu ya ofisi
hiyo mkoani Dodoma wakati alipotembelea kukagua maendeleo ya ujenzi huo leo
Agosti 1, 2017. Wa kwanza kushoto ni Mhandisi John Ainainyi Njau kutoka Benki
ya Dunia - Tanzania.
Muonekano wa Jengo
Jipya la Makao Makuu ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu linalojengwa mkoani Dodoma.
Muonekano wa Jengo
Jipya la Makao Makuu ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu linalojengwa mkoani Dodoma.
Baadhi ya Wakurugenzi
na Maafisa waandamizi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakiwa
katika picha ya pamoja wakati walipotembelea kukagua maendeleo ya ujenzi wa
Jengo Jipya la Makao Makuu ya ofisi hiyo mkoani Dodoma. (PICHA ZOTE NA VERONICA KAZIMOTO).
No comments:
Post a Comment