Bw. Victor Zephania Musendo Afisa
Mikopo Benki ya Azania akitoa maelezo kwa wananchi Ali Ndila kulia na
Bw. Abdallah Kigwalilo wakulima kutoka mkoani Morogoro waliofika kwenye
banda la Benki hiyo lililopo kwenye banda kuu la NDC ili kupata maelezo
kuhusu mikopo ya Matrekta katika maonyesho ya Sabasaba yanayoendelea
kwenye viwanja vya Mwalimu J.K Njerere barabara ya Kilwa jijini Dar es
salaam, Katikati ni Said Tunda Meneja wa Uwekezaji NDC, Maonyesho hayo
yanaandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara ya Nje (TANTRADE)
Mtaalam
wa Mikopo ya Nyumba (Mortigage Specialist) kutoka Benki ya Azania Bi.
Liberia Peter akizungumza na wafanyakazi wenzake katika banda la benki
ya Azania kwenye viwanja vya maonyesho ya Sabasaba yanayofanyika kwenye
viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment