Afisa Mauzo wa Shirika la Nyumba
la Taifa NHC Bw. Jason Ipyana akitoa maelezo kwa kwa wananchi mbalimbali
waliotembelea katika banda la NHC kwenye maonyesho ya biashara ya
Sabasaba yanayoandaliwa na Mamlaka ya
Maendeleo ya Biashara ya Nje (TANTRADE) yanayoendelea kwenye viwanja
vya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam kila mwaka kuanzia
tarehe 1 mwezi Julai
Baadhi ya wananchi waliojitokeza
kutembelea kwenye banda la Shirika la Nyumba la Taifa NHC wakipata
maelezo mbalimbali kutoka kwa wafanyakazi wa shirika hilo.
Afisa Mauzo Mwandamizi wa Shirika
la Numba la Taifa NHC Bw. Joseph Haule akitoa maelezo kwa wananchi
waliotembelea katika banda hilo ili kujua shughuli mbalimbali na miradi
inayofanywa na shirika hilo nchni kote.
Baadhi ya wananchi waliotembelea
katika banda hilo wakiangalia moja ya mfano wa ramani za miradi ya
shirika hilo inayoonyeshwa katika maonyesho hayo.
Baadhi ya wananchi waliotembelea banda hilo wakiangalia mfano wa moja ya nyumba zinazojengwa katika miradi ya shirika hilo.
Tuntufye Mwambusi Meneja Masoko
wa Shirika la Nyumba la Taifa akizungumza na mmoja wa wageni
waliotembelea banda lao na kuona shughuli zinazofanywa na shirika hilo
hapa nchini.
Afisa Mauzo wa Shirika la Nyumba
la Taifa NHC Bi. Haika Swai akimuelekeza jambo mmoja wa wananchi
waliofika kwenye banda la NHC ili kupata taarifa mbalimbali kuhusu
shirika hilo.
Afisa Miliki wa Shirika la Nyumba
la Taifa NHC Bi. Mwasiti Jimmy akizungumza na mmoja wa wananchi
waliotembelea katika banda la Shirika la Nyumba NHC kwenye viwanja vya
Maonyesho ya biashara yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba
Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment