Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la
Bima la Taifa (NIC) Bwana Sam Kamanga akizungumza na wafanyakazi wa
shirika hilo wakati alipotembelea banda lao katika maonyesho ya 41 ya
Biashara yanayoendelea kwa siku 14 kwenye Viwanja vya Sabasaba Barabara
ya Kilwa jijini Dar es salaam maonyesho hayo yanaandaliwa na Mamlaka ya
Maendeleo ya Biashara ya Nje (TANTRADE na kufanyika kila mwaka mwezi
julai.
Waziri wa Viwanda , Biashara na Uwekezaji, Mh.Charles Mwijage akimsikiliza Mkurugenzi wa Masoko wa Shirika la Bima la Taifa NIC Bw. Elisante Maleko wakati alipotembelea banda la shirika hilo kwenye maonyesho ya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.
Waziri wa Viwanda , Biashara na Uwekezaji, Mh.Charles Mwijage
akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea banda la shirika hilo
kwenye maonyesho ya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam
kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko wa Shirika la Bima la Taifa NIC Bw. Elisante Maleko
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Fedha na Mipango Bi. Doroth Mwanyika akisaini kitabu cha wageni wakati
alipotembelea banda la shirika la Bima la Taifa NIC Kulia ni Afisa
Mwandamizi wa Bima Bw. Jumanne Nyamgunda.
No comments:
Post a Comment