BALOZI wa Congo nchini Tanzania,
Jean-Pierre Mutamba, akizungumza wakati akisoma hotuba yake katika
Sherehe za maadhimisho ya miaka 57 ya Uhuru wa Congo, zilizofanyika
nyumbani kwa Balozi huyo jijini Dar es Salaam, juzi usiku. Katikati ni
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage (kulia) ni
Kaimu Mkurugenzi Wizara ya Mambo ya Nje, Suleiman Saleh
WAZIRI wa Viwanda, Biashara na
Uwekezaji, Charles Mwijage, akisoma hotuba yake katika Sherehe za
maadhimisho ya miaka 57 ya Uhuru wa Congo, zilizofanyika nyumbani kwa
Balozi huyo jijini Dar es Salaam, juzi usiku. Katikati ni Balozi wa
Congo nchini Tanzania, Jean-Pierre Mutamba (kulia) ni Kaimu Mkurugenzi
Wizara ya Mambo ya Nje, Suleiman Saleh
WAZIRI wa Viwanda, Biashara na
Uwekezaji, Charles Mwijage (kulia) na Balozi wa Congo nchini Tanzania,
Jean-Pierre Mutamba, wakigonganisha Glasi ikiwa ni ishara ya maadhimisho
ya sherehe za miaka 57 ya Uhuru wa Congo, zilizofanyika nyumbani kwa
Balozi huyo, jijini Dar es Salaam, juzi usiku
WAZIRI wa Viwanda, Biashara na
Uwekezaji, Charles Mwijage (kushoto) na Balozi wa Congo nchini Tanzania,
Jean-Pierre Mutamba, kwa pamoja wakikata Keki ikiwa ni ishara ya
maadhimisho ya sherehe za miaka 57 ya Uhuru wa Congo, zilizofanyika
nyumbani kwa Balozi huyo, jijini Dar es Salaam, juzi usiku.
WAZIRI wa Viwanda, Biashara na
Uwekezaji, Charles Mwijage (kulia) na Balozi wa Congo nchini Tanzania,
Jean-Pierre Mutamba, wakifurahia jambo wakati wa sherehe za maadhimisho
ya miaka 57 ya Uhuru wa Congo, zilizofanyika nyumbani kwa Balozi huyo,
jijini Dar es Salaam, juzi usiku.
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria sherehe hizo wakibadilishana mawazo.
Baadhi ya Wakongo wakiimba wimbo wa Taifa katika sherehe hizo.
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria sherehe hizo wakifuatilia yaliyokuwa yakiendelea jukwaani katika maadhimisho hayo.
Mwanamuziki wa Kimataifa, kutoka Congo, Ferre Gola, akitoa burudani katika sherehe hizo.
Waziri wa Viwanda, Biashara na
Uwekezaji, Charles Mwijage (wa pili kushoto) akicheza muziki na
mwanamuziki Ferre Gola, wakati wa sherehe hizo.
Wanamitindo wakipita jukwaani kutoa shoo la onyesho la mavazi wakati wa sherehe hizo. Picha Zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
No comments:
Post a Comment