Meneja
Masoko wa Multichoice-Tanzania, Alpha Mria na Afisa Masoko wa
Multichoice Tanzania Shumbana Walwa kushoto na muigizaji wa filamu za
kibongo Riyama Ally wakipozi kwa picha nyuma ya bango la picha ya
muigizaji huyo iliyopo katika banda la Multchoice katika Maonyesho ya
Biashara ya 41 yanayofanyika kwenye viwanja vya Sabasaba Barabara ya
Kilwa jijini Dar es salaam, Maonyesho hayo yanaandaliwa na Mamlaka ya
Maendeleo ya Biashara ya Nje (TANTRADE).
Shumbana Walwa kushoto wakipozi kwa picha na muigizaji wa filamu za kibongo Riyama Ally
katika banda la kampuni hiyo kwenye maonyesho ya Biashara ya
yanayofanyika kwenye viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar
es salaam.
Baadhi ya wananchi wakipata huduma kutoka kwa wafanyakazi wa Multchoice katika banda hilo.
No comments:
Post a Comment