Waziri wa Viwanda, Biashara na
Uwekezaji, Bwana Charles Mwijage (katikati) akiwa katika ziara ya
kuzungukia maabara za ujenzi katika majengo ya Shirika la Viwango
Tanzania (TBS) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya ithibati
duniani jijini Dar es Salaam jana. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi
Mtendaji wa TBS, Profesa Egid Mubofu na wa kwanza kulia ni Mwenyekiti
Bodi ya Wakurugenzi TBS, Profesa Makenya Maboko.
Waziri wa Viwanda, Biashara na
Uwekezaji, Bwana Charles Mwijage akasisitiza jambo kwa wafanyakazi wa
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) pamoja na wadau wa shirika hilo ndani
ya moja ya maabara za kupima vifaa vya ujenzi ikiwa ni sehemu ya
maadhimisho ya siku ya ithibati duniani jijini Dar es Salaam jana.
Waziri wa Viwanda, Biashara na
Uwekezaji, Bwana Charles Mwijage akasisitiza jambo kwa wafanyakazi wa
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) pamoja na wadau wa shirika hilo katika
eneo la kuhifadhi vilainishi vya mitambo ndani ya majengo ya shirika
hilo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya ithibati duniani jijini
Dar es Salaam jana.
Waziri wa Viwanda, Biashara na
Uwekezaji, Bwana Charles Mwijage akitoa maelekezo kwa moja ya watendaji
wa maabara ya kupima vifaa vya ujenzi katika jingo la Shirika la Viwango
Tanzania (TBS), wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Upimaji na Huduma ya
Vifungashio TBS, Bibi Agness Mneney na Mkurugenzi Mtendaji wa shirika
hilo Profesa Egid Mubofu (wa pili kulia), ziara ya waziri ni sehemu ya
maadhimisho ya siku ya ithibati duniani jijini Dar es Salaam jana.
No comments:
Post a Comment