Meneja
wa Tigo Mkoa wa Dodoma Gidion Morris akimpa maelezo Waziri Mkuu Kasimu
Majaliwa alipotembelea banda la kampuni ya simu ya Tigo kwenye maonyesho
ya kupiga vita matumizi ya dawa za kulevya uwanja wa Nyerere Square
mjini Dodoma leo.
Meneja
wa Tigo Mkoa wa Dodoma Gidion Morris akiagana na Waziri Mkuu Kasimu
Majaliwa alipotembelea banda la kampuni ya simu ya Tigo kwenye maonyesho
ya kupiga vita matumizi ya dawa za kulevya uwanja wa Nyerere Square
mjini Dodoma leo.
No comments:
Post a Comment