Bi.
Joyce Msigwa ambaye ni Mratibu wa Faru Arts and Sports Development
Organization (FASDO) akitoa maelezo kwa washiriki wa 'Bongo Style
Competition' 2017, kuhusiana na asasi ya FASDO
Mwezeshaji
Bw. Erick Chrispin akitoa semina kwa washiriki wa Bongo Style namna ya
kujiongoza wenyewe katika maswala ya Fedha,Muda na uongozi.
Baadhi
ya washiriki wa shindano la Bongo Style 2017, wakiwemo wapiga
picha,waandishi wa miswada ya Filamu na wabunifu wa mitindo upande wa
mavazi wakiwa wanafanya zoezi waliopewa na mwezeshaji Bw. Erick Chrispin
(ambaye hayupo pichani)
Baadhi
ya Washiriki wa Bongo Style Competition 2017 wakiwa wanafanya kazi
waliyopewa na mwezeshaji Bw. Erick Chrispin (hayupo pichani) baada ya
kumaliza semina yake.
Mkufunzi
na Mtaalam wa maswala ya Picha Bw. Iddy John akitoa somo juu ya maswala
ya picha kwa washiriki wa Shindano la Bongo Style kundi la Picha
Mbunifu maarufu wa Mitindo ya mavazi Martin Kadinda akitoa somo kwa washiriki kundi la mitindo
Washiriki wa kundi la Ubunifu wa mitindo upande wa mavazi wakipewa vitendea kazi.
Bi.
Christina Pande(aliyesimama) ambaye ni Mtunzi na muongozaji wa Filamu,
akiwapa darasa vijana ambao wapo katika kundi la Uandishi wa miswada ya
Filamu shindano la Bongo Style 2017.
Picha zote na Fredy Njeje.
No comments:
Post a Comment