Wachezaji wa timu ya Tusker ya Kenya wakiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, tayari kwa ajili ya michuano ya
Sportpesa itakayo anza kutimua vumbi Juni 5 mwaka huu katika uwanja
wa Uhuru maalufu kama shamba la bibi. Michuano hiyo imedhaminiwa na
Kampuni ya Sport Pesa kwa kuzishirikisha timu zinazo dhaiminiwa na
kampuni hiyo za nchi ya Kenye na Tanzania.
Wachezaji wa timu ya Tusker ya Kenya wakiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, tayari kwa ajili ya michuano ya
Sportpesa itakayo anza kutimua vumbi Juni 5 mwaka huu katika uwanja
wa Uhuru maalufu kama shamba la bibi.Michuano hiyo imedhaminiwa na
Kampuni ya Sport Pesa kwa kuzishirikis
No comments:
Post a Comment