Picha mbalimbali zikionyesha
achezaji wa timu ya Tusker ya Kenya wakiwasili katika Uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, tayari kwa ajili ya
michuano ya Sportpesa itakayo anza kutimua vumbi Julay 5 mwaka huu
katika uwanja wa Uhuru maalufu kama shamba la bibi.Michuano hiyo
imedhaminiwa na Kampuni ya Sport Pesa kwa kuzishirikisha timu zinazo
dhaiminiwa na kampuni hiyo za nchi ya Kenye na Tanzania.
No comments:
Post a Comment