Inspekta
Jenerali wa Polisi (IGP) Simon Sirro akitoa muhtasari wakati wa ufunguzi
wa kikao cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa
Polisi wa Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay
jijini Dar es salaam leo Juni 2, 2017
Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba akimkaribisha Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kufungua kikao
cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa
Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini
Dar es salaam leo Juni 2, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifungua kikao
cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa
Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini
Dar es salaam leo Juni 2, 2017
Ukumbi wote ukimsikiliza kwa makini wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifungua kikao
cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa
Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini
Dar es salaam leo Juni 2, 2017
Meza kuu ikimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa kufungua kikao
cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa
Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini
Dar es salaam leo Juni 2, 2017
Kamishna wa
Jeshi la Polisi Visiwani Zanzibar Afande Hamdan Omar makame akitoa
shukurani kwa niaba ya wote kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli baada ya kufungua kikao
cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa
Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini
Dar es salaam leo Juni 2, 2017.
Kamishna wa
Jeshi la Polisi Visiwani Zanzibar Afande Hamdan Omar makame akipeana
mikono na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli baada ya kumshukuru kwa niaba ya wote kwa kufungua kikao
cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa
Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini
Dar es salaam leo Juni 2, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na meza kuu
akipata picha ya pamoja na Makamishna wa Jeshi la Polisi baada ya
kufungua kikao cha
Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa Mikoa na
Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini Dar es
salaam leo Juni 2, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na meza kuu
akipata picha ya pamoja na Makamishna, makamanda wa Wakuu wa Vikosi wa
Jeshi la Polisi baada ya kufungua kikao
cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa
Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini
Dar es salaam leo Juni 2, 2017
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na meza kuu
akipata picha ya pamoja na Makamanda wa Polisi wa mikoa baada ya
kufungua kikao cha
Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa Mikoa na
Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini Dar es
salaam leo Juni 2, 2017
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na meza kuu
akipata picha ya pamoja na Makamanda wa Vikosi vya Polisi baada ya
kufungua kikao cha
Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa Mikoa na
Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini Dar es
salaam leo Juni 2, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga baada ya kufungua kikao
cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa
Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini
Dar es salaam leo Juni 2, 20
PICHA ZOTE NA IKULU
No comments:
Post a Comment