Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini(IGP), Simon
Sirro, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), baada ya kufanya
kikao kuhusiana na uhalifu katika maeneo ya Kibiti,Mkuranga na Ikwiriri,mkoani
Pwani, ambapo Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni(kushoto),alitangaza kutafutwa kwa watu 16 wanaotuhumiwa kuhusika na
uhalifu huo.Mkutano huo umefanyika katika Ukumbi wa polisi makao makuu,jijini
Dar es Salaam. (PICHA NA WIZARA YA MAMBO
YA NDANI YA NCHI)
Naibu Waziri Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akionyesha baadhi ya picha
za watuhumiwa wa uhalifu katika maeneo ya Kibiti,Mkuranga na Ikwiriri kwa waandishi wa habari (hawapo pichani), baada ya
kufanya kikao na viongozi wa ngazi za juu wa Jeshi la Polisi ambapo alitangaza kutafutwa kwa watu 16
wanaotuhumiwa kuhusika na uhalifu huo.Kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini(IGP),Simon
Sirro.Mkutano huo umefanyika katika Ukumbi wa polisi makao makuu,jijini Dar es
Salaam
Naibu Waziri Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na waandishi wa
habari (hawapo pichani), baada ya kufanya kikao na viongozi wa ngazi za juu wa
Jeshi la Polisi kuhusiana na uhalifu katika maeneo ya Kibiti,Mkuranga na
Ikwiriri,mkoani Pwani, ambapo alitangaza kutafutwa kwa watu 16 wanaotuhumiwa
kuhusika na uhalifu huo.Kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini(IGP), Simon Sirro.Mkutano
huo umefanyika katika Ukumbi wa polisi makao makuu,jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment