Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai akifuatilia mjadala katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Pamoja
iliyokuwa ikijadili miswada miwili ya sheria kuhusiana na usimamizi wa
maliasili za Nchi.kikao hicho kilifanyika Mjini Dodoma jana Katika
Ukumbi wa Msekwa.
No comments:
Post a Comment