Afisa
Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Deo Kwiyukwa akizungumza na
waandishi wa habari(hawapo pichani)kuhusu ujio mpya wa Posta ya
Kidijitali ofinini kwake leo Jijini Dar es Salaam.
Afisa
Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Deo Kwiyukwa akizungumza na
waandishi wa habari kuhusu ujio mpya wa Posta ya Kidijitali ofisini
kwake leo Jijini Dar es Salaam.
Afisa
Mtenda Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania aliyemaliza muda wake
akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari wakati wa mkutano wa
waandishi hao na mrithi wake Deo Kwiyukwa (hayupo pichani) leo Jijini
Dar es Salaam.Kushoto ni Kaimu Mkuu wa Idara ya Fedha na Uhasibu Cyprian
Mugemuzi.
Picha na: Frank Shija – MAELEZO
No comments:
Post a Comment