Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
(kulia) akiagana na Waziri Mkuu wa Shirikisho la Kidemokrasia la Jamhuri
ya Ethiopia, Mhe. Hailemariam Dessalegn mara baada ya kumaliza ziara
yake ya siku mbili nchini. Wakati wa ziara hiyo pamoja na mambo mengine alimaliza kwa kutembelea Bandari ya Dar es Salaam na
Mhe. Dessalegn ameahidi kuitumia Bandari hiyo kupitisha mizigo ya nchi
yake pamoja na kufanya biashara na nchi za Afrika Mashariki.Ziara hiyo
ilifanyika kuanzia tarehe 31 Machi hadi 01 Aprili, 2017. |
No comments:
Post a Comment