WAZIRI JENISTA MHAGAMA AYAAGIZA MAKAMPUNI YA UCHIMBAJI MADINI KUTOA ELIMU YA USALAMA KWA WACHIMBAJI WADOGO ATEMBELEA MABANDA YA ACACIA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
(Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama
ameiagiza migodi mikubwa nchini Tanzania kuanzisha programu maalum kwa
ajili ya kutoa elimu ya afya na usalama kwa wachimbaji wadogo wa madini
ili kuepuka ajali zinazotokea kwenye maeneo ya migodi.
No comments:
Post a Comment