Pages

Saturday, April 1, 2017

SOPHIA MJEMA AONGOZA KUPANDA KILELE CHA MAADHIMISHO SIKU YA UPANDAJI MITI ILALA


Mkuu wa wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akipanda mti wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya siku ya Upandaji Miti, kilichofanywa na Wilaya ya Ilala katika shule ya Msingi, Yangeyange, Kata ya Msongola wilayani humo mkoani Dar es Salaam. Wapili kulia ni Katibu Tawala wa Wilaya hiyo ya Ilala Edward Mpogolo na Kushoto ni Katibu Tawala wa mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mbando
Mkuu wa wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akipanda mti wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya siku ya Upandaji Miti, kilichofanywa na Wilaya ya Ilala katika shule ya Msingi, Yangeyange, Kata ya Msongola wilayani humo mkoani Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Katibu Tawala wa Wilaya hiyo ya Ilala Edward Mpogolo
Mkuu wa wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akimwagilia maji baada ya kupanda mti wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya siku ya Upandaji Miti, kilichofanywa na Wilaya ya Ilala katika shule ya Msingi, Yangeyange, Kata ya Msongola wilayani humo mkoani Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Tawala wa Wilaya hiyo ya Ilala Edward Mpogolo na Kulia ni Katibu Tawala wa mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mbando
Mkuu wa wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akimwagilia maji baada ya kupanda mti wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya siku ya Upandaji Miti, kilichofanywa na Wilaya ya Ilala katika shule ya Msingi, Yangeyange, Kata ya Msongola wilayani humo mkoani Dar es Salaam.
Kamishna Mkuu Msaidizi wa Skauti anayeshughulika na Mazingira Amina Maulidi akimvisha Skafu , Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema alipowasili katika shughuli hiyo ya upandaji miti. ZIFUATAZO NI MFULULIZO WA MATUKIO YALIYOJIRI WAKATI WA KILELE HICHO. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

No comments:

Post a Comment