Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa (katikati), akitilia saini na Balozi
wa China Nchini, Dk. Lu Youqing (kulia) ya kukabidhiana scanner mpya
ambazo zimezinduliwa leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Eng. Deusdedit
Kakoko.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa (wa nne kushoto), akikata utepe
kuashiria uzinduzi wa scanner mpya ambazo zimezinduliwa leo jijini Dar
es Salaam. Wa tatu kushoto ni Balozi wa China Nchini, Dk. Lu Youqing.
Muonekano wa Scanner Mpya ambazo
zimenunuliwa kwa msaada kutoka Jamhuri ya Watu wa China. Scanner hizo
mpya moja imefungwa katika bandari ya Dar es Salaam na nyingine
itafungwa katika bandari ya Tanga.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa (wa pili kushoto) na Balozi wa China
Nchini, Dk. Lu Youqing (wa kwanza kushoto) wakipata maelezo kutoka kwa
mtaalam wa Scanner, mara baada ya kuzindua scanner mpya zitakazotumika
katika Bandari za Dar es Salaam na Tanga.
No comments:
Post a Comment