Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa Mkandarasi wa
Kampuni ya BAM International inayojenga Jengo la Tatu la Abiria katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es
Salaam.
Mkuu wa timu ya usimamizi wa
ujenzi wa Jengo la Tatu la Abiria katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Julius Nyerere (JNIA), Jijini Dar es Salaam, Eng. Julius Ndyamukama
(kushoto) akimuonesha Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof.
Makame Mbarawa ramani ya miundombinu katika jengo hilo alipofanya
ukaguzi mapema leo.
Muonekano wa jengo la Tatu la
abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA),
jijini Dar es Salaam likiwa katika hatua za mwisho za ujenzi.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini , Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
No comments:
Post a Comment