Mkemia Mkuu wa Serikali , Profesa
Samwel Manyelle akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es
Salaam kuhusiana na ununuzi wa mtambo mpya wa kisasa aina ya Energy
Dispersive X Ray Fluorescence (EDXRF) kwa ajili ya uchunguzi wa
kimaabara wa kutambua aina na kiasi cha madini (Metals) kwenye migodi.
Waandishi wa habari wakiwa kazini.
PICHA NA PHILEMON SOLOMON-FULLSHANGWEBLOG.
No comments:
Post a Comment