Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa
Rais Prof. Faustin Kamuzora akisalimiana na Bw. Isaya Kisiri Afisa Ugavi
Mwandamizi mara baada ya kuwasili katika Ofisi zilizopo `Area D`
Dodoma.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa
Rais Prof. Faustin Kamuzora akipokewa na watumishi wa Ofisi yake mjini
Dodoma mara baada ya kuwasili katika Ofisi zilizopo `Area D` Dodoma.
Kulia ni Bi. Oigenia Mpanduji Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu
wa Rais Eng. Ngosi Mwihava (kushoto) akiongea na Katibu Mkuu Ofisi ya
Makamu wa Rais mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment