Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa
Shirika la Datang Telecom International Technology Company Limited la
Serikali ya China Bw.Yuan Yong (kulia) pamoja na ujumbe wake ,Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya
pamoja na Rais wa Shirika la Datang Telecom International Technology
Company Limited la Serikali ya China Bw.Yuan Yong na ujumbe wake mara
baada ya kupokea taarifa ya mpango wa serikali ya China wa kuikopesha
TTCL ili kuipa uwezo wa kiteknolojia na kupanua mtandao wa mawasiliano
vijijini na mijini pamoja na kujenga kiwanda cha kutengeneza vifaa vya
mawasiliano hapa Tanzania.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments:
Post a Comment