Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika viwanja vya mahakama
alipokuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama leo
jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Katiba na Sheria
Dkt.Harrison Mwakyembe akiwasili katika viwanja vya mahakama kuhudhuria
hafla ya maadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam.
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania
Profesa Ibrahim Juma akiwasili katika viwanja vya mahakama kuhudhuria
hafla ya maadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam.
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.
Profesa Ibrahim Juma(kushoto) akiwa pamoja na viongozi wenzake
wakisubiri kumpokea mgeni rasmi katika maadhimisho ya mwaka mpya wa
Mahakama Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo jijini Dar es Salaam.
Kutoka kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema, Waziri wa Katiba
na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe,Jaji Kiongozi Ferdinand Wambali na
Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia alipokuwa mgeni rasmi
katika maadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam.
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania
Profesa Ibrahim Juma akizungumza wakati wa hafla ya maadhimisho ya mwaka
mpya wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya viongozi wa dini na
wageni waalikwa wakifuatilia hotuba wakati wa hafla ya maaadhimisho ya
mwaka mpya wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam.
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania
Profesa Ibrahim Juma akimkabidhi ripoti ya kesi za uchaguzi Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika hafla ya
maadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Spika wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai ripoti ya kesi za uchaguzi wa
mwaka 2015 katika hafla ya maadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama leo
jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya viongozi wa dini wakiomba wakati wa hafla ya maadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wageni waalikwa
wakifuatilia makala fupi kuhusu mpango mkakati wa Mahakama iliyoonyeshwa
mbele ya Rais Dkt. Magufuli wakati wa hafla ya maadhimisho ya mwaka
mpya wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya majaji wa Mahakama ya
Rufaa na Mahakama Kuu wakiwa katika hafla ya maadhimisho ya mwaka mpya
wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam.
Kikosi Maalumu cha Jeshi la
Polisi nchini kikiwa tayari kutoa salamu ya utii kwa Kaimu Jaji Mkuu
Ibrahim Juma wakati wa hafla ya maadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama
leo jijini Dar es Salaam.
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.
Profesa Ibrahim Juma akikagua gwaride la Kikosi Maalumu cha Jeshi la
Polisi nchini wakati wa hafla ya maadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama
leo jijini Dar es Salaam.
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.
Profesa Ibrahim Juma akipokea salamu ya utii kutoka kwa Kikosi Maalumu
cha Jeshi la Polisi nchini wakati wa hafla ya maadhimisho ya mwaka mpya
wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam.
Kaimu Jaji Mkuu wa Mahakama
Tanzania Mhe. Profesa Ibrahim Juma akiteta jambo na Mwanasheria Mkuu
wa Serikali George Masaju(kushoto) walipokutana katika hafla ya
maadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam. Katikati
ni Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi
ya majaji pamoja na viongozi wa Serikali wakati wa hafla ya maadhimisho
ya mwaka mpya wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam.Waliokaa kutoka
kushoto ni Jaji Mkuu wa Zanzibar Othmani Makungu, Waziri wa Katiba na
Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe, Kaimu Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania
Mhe. Profesa Ibrahim Juma, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Job Ndugai, Jaji Kiongozi Ferdinand Wambali na Mkuu wa
Wilaya ya Ilala Sophia Mjema.
Picha zote na: Frank Shija – MAELEZO.
No comments:
Post a Comment